Rachel Louise Carson
(
27 Mei
1907
-
14 Aprili
1964
) alikuwa
mwanasayansi
wa
kibiolojia
kutoka nchini
Marekani
.
Carson alianza
kazi
yake kama
mwanabiolojia
wa
maji
katika
Ofisi ya Uvuvi ya Umoja wa Mataifa
.
Rachel Carson alizaliwa 27 Mei 1907, kwenye
shamba
la
familia
karibu na
Springdale
,
Pennsylvania
, juu kidogo ya
Mto Allegheny
kutoka
Pittsburgh
.
Carson alianza kuandika
hadithi
(mara nyingi huhusisha
wanyama
katika hadithi zake) akiwa na
umri
wa
miaka
nane
na alikuwa na hadithi yake ya kwanza iliyochapishwa akiwa katika umri wa miaka
kumi
.
Alifurahia sana
St. Nicholas Magazine
(ambayo ilisambaza hadithi za kwanza),
kazi
za
Beatrix Potter
, na
riwaya
za
Gene Stratton-Porter
, na katika miaka yake ya
ujana
,
Herman Melville
,
Joseph Conrad
na
Robert Louis Stevenson
.
Carson alisoma
shule ya msingi
ya Springdale kupitia daraja la kumi, kisha alikamilisha shule ya
sekondari
karibu na
Parnassus
, Pennsylvania, alihitimu mwaka
1925
na
darasa
lake lilikuwa na wanafunzi 45.
Katika
Chuo cha Wanawake cha Pennsylvania
(leo kinajulikana kama
Chuo Kikuu cha Chatham
). Carson alianza kusoma
Kiingereza
, lakini alibadilisha na kuchukua
biolojia
mwezi
Januari
1928
. Alisomea elimu ya ufundi wa Kibiolojia katika
maabara
.
Aliendelea na masomo yake ya
zuolojia
(biolojia ya
wanyama
) katika
Chuo kikuu cha Johns Hopkins
mwishoni mwa mwaka
1929
.
Msimamizi wa Carson, alifurahia mafanikio ya Carson katika vipindi vya
redio
.
Carson aliugua
ugonjwa
wa
saratani ya matiti
na
ugonjwa wa pumu
Januari
1964
. Hali yake ikawa mbaya zaidi, na mwezi
Februari
,
madaktari
waligundua kuwa alikuwa na
anemia
kali kutokana na
matibabu
yake ya
mionzi
, na mwezi
Machi
waligundua kuwa saratani ilikuwa imefikia
ini
lake.
Carson alikufa kutokana na saratani
14 Aprili
1964
,
nyumbani
mwake huko
Silver Spring
,
Maryland
.
|
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Rachel Carson
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|