Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Michelangelo di Lodovico Buonarroti Simoni
(
6 Machi
1475
-
18 Machi
1564
) alikuwa
msanii
nchini
Italia
aliye maarufu kama
mchongaji
,
mchoraji
,
msanifuujenzi
na
mshairi
. Huhesabiwa kati ya wasanii muhimu zaidi wa
zama ya mwamko
.
Kati ya kazi zake maarufu zaidi ni
sanamu
ya
kijana Daudi
na
michoro ya ukutani
wa
Kikanisa cha Sisto IV
huko
Vatikano
mjini
Roma
alichopamba kwa
hadithi
na
watu
wa
Biblia
.
Kati ya kazi zake maarufu kama msanifuujenzi ni hasa
kuba
ya
Basilika la Mt. Petro
kwenye
Vatikano
mjini Roma.
Upande wa
dini
, alikuwa
Mkristo
wa
Kanisa Katoliki
, tena mwanachama wa
Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko
.
|
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Michelangelo
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|