Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lugha za Kiturki
ni kundi la lugha zaidi ya 30 zinazozungumzwa kutoka
Ulaya ya Mashariki
hadi
Asia ya Kati
na watu milioni 210. Zinahesabiwa kuwa sehemu za
lugha za Kialtai
pamoja na
Kichina
,
Kimongolia
,
Kijapani
na
Kikorea
. Wasemaji wa lugha za Kiturki husikizana kwa kiasi kikubwa. Lugha ya Kiturki inayojulikana zaidi kimataifa pia yenye wasemaji wengi ni
Kituruki
cha
Uturuki
.
Asili ya wasemaji wa lugha za Kiturki inadhaniwa kuwa sehemu za
Mongolia
. Kati ya karne za 6 hadi 10 walisambaa hadi Asia ya Magharibi na baada ya kutwaa
Milki ya Bizanti
waliingia pia katika Ulaya ya kusini-mashariki.
Lugha za Kiturki zenye wasemaji wengi
[
hariri
|
hariri chanzo
]
Lugha tatu kubwa za kundi hili ni
[
hariri
|
hariri chanzo
]
Lugha za Kiturki zenye wasemaji zaidi ya milioni moja:
[
hariri
|
hariri chanzo
]
Mifano ya maneno ya lugha za Kiturki
[
hariri
|
hariri chanzo
]
Mifano ifuatayo inaonyesha jinsi gani lugha za Kiturki zinavyofanana:
Kiswahili
|
Kiturki
cha Kale
|
Kituruki
|
Kiturkmeni
|
Kitatari
|
Kikazakhstan
|
Kiuzbeki
|
Kiuiguri
|
Mama
|
ana
|
anne/ana
|
ene
|
ana
|
ana
|
ona
|
ana
|
pua
|
burun
|
burun
|
burun
|
boryn
|
murın
|
burun
|
burun
|
mkono
|
qol
|
kol
|
qol
|
kul
|
qol
|
qo'l
|
kol
|
barabara
|
jol
|
yol
|
yol
|
jul
|
zhol
|
yo'l
|
yol
|
mnene
|
semiz
|
semiz
|
semiz
|
simyz
|
semiz
|
semiz
|
semiz
|
ardhi
|
topraq
|
toprak
|
topraq
|
tufrak
|
topıraq
|
tuproq
|
tupraq
|
damu
|
qan
|
kan
|
gan
|
kan
|
qan
|
qon
|
qan
|
majivu
|
kul
|
kul
|
kul
|
kol
|
kul
|
kul
|
kul
|
maji
|
suv
|
su
|
suw
|
syw
|
suw
|
suv
|
su
|
nyeupe
|
aq
|
ak
|
ak
|
ak
|
aq
|
oq
|
aq
|
nyeusi
|
qara
|
kara
|
gara
|
kara
|
qara
|
qora
|
qara
|
nyekundu
|
qyzyl
|
kızıl
|
qyzyl
|
kyzyl
|
qızıl
|
qizil
|
qizil
|
anga
|
kok
|
gok
|
gok
|
kuk
|
kok
|
ko'k
|
kok
|
|
Makala hiyo kuhusu
"Lugha za Kiturki"
inatumia neno ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio kwa jambo linalotajwa.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao.
Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.
|