Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kihispania
(
espanol
;
Kiingereza
:
Spanish
) ni
lugha ya kimataifa
ambayo ni
lugha ya kwanza
kwa watu
milioni
493; kwa jumla pamoja na wasemaji wa Kihispania kama
lugha ya pili
kuna milioni 568
duniani
wanaosema vizuri Kihispania.
Asili
ya
lugha
hiyo ni katika nchi ya
Uhispania
(
Ulaya
kusini
magharibi
), lakini kutokana na
historia
ya
ukoloni
na ya
biashara
lugha hiyo imesambaa sana, hasa
Amerika ya Kusini
na
ya Kati
.
Lugha iliyozaa Kihispania ni
Kilatini
cha
Waroma wa Kale
waliotawala kwa muda mrefu Uhispania. Ndiyo sababu
maneno
yake yanatokana na Kilatini kwa
asilimia
80, lakini pia na
Kiarabu
kwa asilimia 8.
Kati ya
lugha za Kirumi
Kihispania ni lugha ya kisasa ambayo ni karibu zaidi na lugha ya kale, isipokuwa
Kisardinia
na
Kiitalia
.
Nchi zinazotumia Kihispania kama lugha rasmi
[
hariri
|
hariri chanzo
]
Nchi zenye wasemaji wengi wa Kihispania
[
hariri
|
hariri chanzo
]
- Nchini
Marekani
Kihispania ni lugha ya pili baada ya
Kiingereza
hasa katika majimbo ya Kusini zilizokuwa zamani sehemu za Mexiko.
- Ufilipino
kwa sababu ilikuwa koloni la Uhispania