Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Anno Domini
(maneno ya
Kilatini
yanayomaanisha:
"Mwaka wa Bwana"
; kifupi:
AD
au
A.D.
) ni namna ya kutaja miaka katika
kalenda
ama
Kalenda ya Gregori
au
Kalenda ya Juliasi
.
Jina
kamili ni "Anno Domini Nostri Jesu Christi" (
Mwaka
wa
Bwana
wetu
Yesu Kristo
) likirejea
idadi
ya miaka tangu
kuzaliwa kwake
Yesu
Kristo
.
Katika
lugha
ya
Kiingereza
ni njia ya kawaida ya kutaja miaka kama "AD" (ambayo ni sawa na matumizi ya
BK
) au "BC" yaani "before Christ" (tazama
KK
); ni pia kawaida katika
maandiko
ya
kihistoria
yanayotumia lugha ya Kilatini.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Anno Domini
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|