Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
7 Septemba
ni
siku
ya 250 ya
mwaka
(ya 251 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 115.
Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
za
watakatifu
Rejina wa Alise
,
Sozonti
,
Festo na Desideri
,
Evurzi
,
Grato wa Aosta
,
Memori na wenzake
,
Alpino wa Chalons
,
Klod
,
Karisima
,
Madelberta
,
Hilduadi
,
Gozelino
,
Yohane wa Lodi
,
Stefano wa Chatillon
,
Marko Krisini na wenzake
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
7 Septemba
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|