Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
22 Septemba
ni
siku
ya 265 ya
mwaka
(ya 266 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 100.
Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
ya
watakatifu
Emerita wa Roma
,
Morisi na wenzake
,
Basila wa Roma
,
Silvano wa Levroux
,
Fiorensi wa Poitiers
,
Laudo
,
Salaberga
,
Emeramo
,
Ignas wa Santhia
,
Augustino Yu Chin-gil
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
22 Septemba
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|