Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe
20 Desemba
ni
siku
ya 354 ya
mwaka
(ya 355 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 11.
Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
za
watakatifu
Papa Zefirino
,
Liberali wa Roma
,
Filogoni wa Antiokia
,
Dominiko wa Silos
,
Vinsenti Romano
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
20 Desemba
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|