Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya Mji wa Jeddah
Faili:Jedfoun.jpg
world's highest fountain
Jeddah
(
kar.
: ???? jiddah
huandikwa pia Jedda, Jiddah, Jidda
) ni mji mkubwa wa pili nchini
Saudia
na bandari kwenye mwambao wa
Bahari ya Shamu
(21.50° N 39.1667° E).
Kuna wakazi milioni 3.4.
Jeddah ni kitovu cha uchumi na biashara cha Saudia.
Waislamu wengi hupita humo wakati wa
hajj
wakitumia uwanja wa ndege wa Jeddah kwenda kuhiji
Makka
na
Madina
.
Mji wa Jeddah una
miji wenzake
23 (kwa Kiingereza "twin towns"):
Almaty
,
Kazakhstan
Amman
,
Yordan
Baku
,
Azerbaijan
Alexandria
,
Misri
Cairo
,
Misri
Stuttgart
,
Ujerumani
Dubai
,
Falme za Kiarabu
Jakarta
,
Indonesia
Istanbul
,
Uturuki
Adana
,
Uturuki
Johor Bahru
,
Malaysia
Kazan
,
Tatarstan
,
Urusi
Karachi
,
Pakistan
Mari
,
Turkmenistan
Odessa
,
Ukraine
Osh
,
Kyrgyzstan
Plovdiv
,
Bulgaria
Casablanca
,
Morocco
|
|
|
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.
|