Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kamusi Elezo ya Kiswahili
|
Karibu kwenye Wikipedia ya Kiswahili!
Wikipedia
ni mradi wa kuandika
kamusi elezo
kamili na sahihi ya maandishi huru.
Kila mtu anaweza kuhariri makala yoyote, kutoa makosa ya lugha, kutohoa maneno na kuendeleza na kukuza makala, kwa kuandika kwa ufupi au kwa urefu. Tunakushauri ujiandikishe na
kufungua akaunti
. Angalia
Wikipedia:Mwongozo
ili ujifunze unavyoweza kuhariri au kusanifisha ukurasa. Usisite kushiriki; kwa sababu huu ni mradi wa ushirikiano, na hautaisha kamwe. Kamusi elezo itaimarika vizuri zaidi kila wakati. Angalia
ukurasa wa jumuia
,
ukurasa wa jamii
, na ule wa
makala za msingi za kamusi elezo
ili kung'amua unaweza kufanya kazi zipi ili kuboresha Wikipedia.
|
Je, wajua...
|
|
|
|
Makala ya wiki
|
Virusi
(kutoka
Kilatini
virus
, yaani "sumu“) ni chembe ndogo sana iliyoundwa na
maada
jenetiki
, kama ADN au ARN, katika koti la
proteini
. Vinaweza kusababisha
magonjwa
.
Jinsi ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya virusi
Unashauriwa:
- kunawa mikono mara kwa mara angalau
sekunde
20 kwa
maji
na
sabuni
. Ukiwa nayo, tumia
dawa
yenye
alikoholi
(si chini ya
asilimia
60) kusafisha mikono.
- usiguse
macho
,
pua
na
midomo
kwa mikono kama hujanawa
- epuka kuwa karibu sana na wagonjwa
- wakati ugonjwa unazuru katika nchi ulipo, epuka kusalimu wengine kwa kushikana mikono
- kaa
nyumbani
ukiwa mgonjwa (ugonjwa wowote - maana kinga yako ni dhaifu katika hali hii)
- tembea na
karatasi
za
shashi
(kama huna, hata karatasi ya chooni / toilet paper) na uitumie ukikohoa au kupiga chafya, halafu uitupe mahali pa takataka
- safisha mara kwa mara vitu unavyovigusa (vikiwa pamoja na
kikombe
,
deski
,
simu
yako)
[1]
; kama unayo, tumia dawa ya alikoholi (spirit ? si konyagi!), lowesha karatasi nayo, futa, tupa
?Soma zaidi
|
|
|
Picha nzuri ya wiki
|
TANGAZO LA KIFO cha
Ingo Koll
au
Kipala
kilichotokea tarehe 10, Julai, 2023 nchini Ujerumani. Kipala alikuwa mchangiaji mashuhuri wa Wikipedia kuanzia Disemba 2005 hadi Juni 28, 2023. Siku kumi na mbili mbele tangu kuhariri Wikipedia yetu kwa mara ya mwisho, Mola Jalali Muumba wa mbingu na ardhi, alitwaa kiumbe chake. Kipala atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa wa kuhariri Wikipedia hii. Kwanza akiwa kama msimamizi (admin) baadaye mrasimu (bureaucrat) ambaye ametoa haki za usimamizi kwa wakabidhi ama wasimamizi wengine kama Muddyb, Antoni na wengine wengi tu. Miaka kumi na nane ya kusimamia na kutunga makala mbalimbali itakumbukwa hadi mwisho wa dunia ya Wikipedia. Kipala
amechangia
makala za aina mbalimbali ikiwemo, muziki, filamu, tiba, elimu ya nyota, dini, siasa, demografia, jiografia, sayansi, na mengine mengi. Amepata kuwa msaada mkubwa kwa wachangiaji wapya kutoka sehemu mbalimbali za dunia. Alianzisha Jenga Wikipedia ya Kiswahili kwa lengo la kuboresha makala mbalimbali na kutoa mafunzo kwa watu wapya. Pengo lake halitazibika. Sisi wanajumuia ya Wikipedia ya Kiswahili tunasikitika kutangaza kifo chake!
|
|
Takwimu ya Wikipedia ya Kiswahili
- Idadi ya makala:
81,308
- Idadi ya kurasa zote:
175,171
(pamoja na kurasa za watumiaji, majadiliano, msaada n.k.)
- Idadi ya hariri:
1,336,645
- Idadi ya watumiaji waliojiandikisha:
67,733
- Idadi ya
wakabidhi
:
17
- Idadi ya watumiaji hai:
155
(Watumiaji waliojiandikisha na kuchangia katika muda wa siku 30 zilizopita)
- Bofya hapa kwa kupata namba za sasa
- Katika
mwezi wa Agosti 2020
wikipedia ya Kiswahili iliangaliwa mara milioni 1.73 hivi, ambayo ni sawa na mara 55,800 kwa siku au mara 2,326 kila saa. Asilimia 52 za wasomaji wetu wako Tanzania, asilimia 13 wako Kenya, asilimia 18 wako Marekani na mnamo asilimia 10 wako Ulaya.
- Angalia idadi ya wasomaji kwa makala mbalimbali
- (fungua anwani kwa browser yako, ondoa majina yaliyopo na ingiza jina la makala (hadi makala 10) unayopenda. Unaweza kubadilisha kipindi cha taarifa utakachoona; takwimu kabla ya 2015
hapa
)
- na makala 100 zilizotazamiwa zaidi
"Topviews"
kwa kipindi fulani.
- (unachagua kati ya makala 100 kwa mwezi au kwa siku)
Michango ya wanawiki:
angalia hapa michango ya mtumiaji kwenye kila mradi wa Wikimedia
(
andika jina la mtumiaji kwenye sanduku
)
Jumuia za Wikimedia
Kamusi elezo ya Wiki ni kamusi elezo huru iliyo chini ya
Shirika Lisilo la Kiserikali
la
Wikimedia Foundation
, ambalo linasimamia miradi mingine mbalimbali ambayo imeorodheshwa hapo chini. Mpaka sasa miradi inayopatikana Kiswahili ni Wikipedia na Wikamusi. Wikitabu imewekwa Kiswahili lakini bado ni tupu. Mengine inapatikana Kiingereza pamoja na lugha tofauti.
Wikipedia kwa lugha nyingine
Wikipedia kwa lugha nyingine
|
|
- ↑
About prevention and treatment
, tovuti ya National Center for Immunization and Respiratory Diseases (NCIRD), Division of Viral Diseases, Marekani, iliangaliwa 30 Januari 2020