Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
William Carlos Williams
(
17 Septemba
1883
?
4 Machi
1963
) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya
Marekani
. Pamoja na kufanya kazi kama daktari, aliandika
mashairi
,
insha
za historia na
riwaya
fupi. Mwaka wa
1963
wakati alipokuwa ameshafariki aliteuliwa kuwa mshindi wa
Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi
kwa ajili ya mkusanyiko wake “Picha za Brueghel, na Mashairi Mengine” (kwa Kiingereza:
Pictures from Brueghel, and Other Poems
) iliyotolewa mwaka wa 1962.
|
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
William Carlos Williams
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|