SpongeBob SquarePants

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

SpongeBob SquarePants ni mmojawapo ya wahusika wakuu katika maonesho ya Nickelodeon Spongebob SquarePants .

Yeye ni doya ya baharini ambaye anapenda kazi yake ya kukaanga katika Krusty Krab .

Spongebob huishi katika nanasi na konokono wake aitwaye Gary .

Spongebob ilionekana kwa mara ya kwanza mnamo 1 Mei 1999 kwenye televisheni .