Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sandro Wagner
(alizaliwa
Munich
,
29 Novemba
1987
) ni
mchezaji
wa
soka
wa
Ujerumani
ambaye anacheza kama
mshambuliaji
wa
klabu
ya
FC Bayern Munich
na
timu ya taifa
ya Ujerumani.
Wagner alifunga mabao yake ya kwanza na Bayern Munich kwa ushindi wa 2-0 dhidi ya
VfB Stuttgart
mwaka
2007
,yeye ni mmoja kati ya washambuliaji bora wa Ujerumani mwaka 2017-18.
|
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Sandro Wagner
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|