Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Roberto Firmino Barbosa
(alizaliwa
2 Oktoba
1991
) ni
mchezaji
wa
soka
wa
Brazil
ambaye anachezea
klabu
ya Al-Ahliya Ligi ya Saudi Arabia na
timu ya taifa
ya
Brazil
. Ni mchezaji mwenye uwezo wa kucheza kama
kiungo mshambuliaji
,
mfungaji
na
winga
wa kushoto.
Firmino iliyosainiwa na
Hoffenheim
mnamo
Desemba
2010
, na
mkataba
uliendelea mpaka
Juni
2015
. Aliwasili rasmi huko Hoffenheim tarehe
1 Januari
2011
. Kisha
meneja
wa Hoffenheim
Ernst Tanner
alisema kuwa "walifurahi kuajiri mchezaji wa Brazil mwenye uwezo mkubwa". Firmino aliipatia Hoffenheim mafanikio makubwa.
Tarehe
23 Juni
2015, wakati Firmino aliipigania Brazil kwenye Copa America, Hoffenheim na Firmino walikubaliana Firmino kuhamia katika klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza
Liverpool
kwa ada ya £
milioni
29. Firmino Alifunga magoli yake ya kwanza matano dhidi ya
Arsenal
na
Norwich City
mwezi huo wa sita na ndiye mchezaji hatari zaidi kwa kuwezesha magoli mengi ya wenzake.
|
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Roberto Firmino
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|