Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Robert Lewandowski
(alizaliwa
Warsaw
,
Polandi
, tarehe
21 Agosti
1988
) ni
mchezaji
wa
mpira wa miguu
wa
klabu
ya
Bayern Munich
na wa
timu ya taifa
ya
Poland
.
Timu
ya kwanza kuichezea ni Znicz Pruszkow ya Poland baada ya hapo alihamia klabu ya
Borussia Dortmund
ya
Ujerumani
akawa mfungaji bora wa ligi hiyo.
Baada ya hapo alihamia Bayern Munich kwa uhamisho huru na akafanikiwa kushinda kombe la bundsiliga na kuwa mchezaji bora wa ligi hiyo na tarehe 22-9-2015 alifunga magolimatano ndani ya dakika tisa walipokuwa wakicheza dhidi ya klabu ya Wolfsburg.
|
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Robert Lewandowski
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|