Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Renato wa Sorrento
(alifariki
6 Oktoba
450
hivi) alikuwa
askofu
wa kwanza au wa pili wa
mji
huo
kwenye
pwani
ya
Mediteranea
nchini
Italia
kuanzia
mwaka
424
hadi
kifo
chake, ingawa wengine walisema alikuwa
mkaapweke
tu
[1]
.
Tangu kale anaheshimiwa na
Waorthodoksi wa Mashariki
na
Wakatoliki
kama
mtakatifu
.
Sikukuu
yake huadhimishwa kila
mwaka
tarehe
ya
kifo
chake
[2]
.
|
Makala hii bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|