Peter Mansfield (amezaliwa 27 Machi , 1933 ) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza . Hasa alichunguza usumaku kwa ajili ya MRI. Mwaka wa 2003 , pamoja na Paul Lauterbur , alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba .