Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pepe Reina
(alizaliwa
31 Agosti
1982
) ni
mchezaji
wa
mpira wa miguu
wa
timu ya taifa
ya
Hispania
na
klabu
ya
A.C. Milan
ya nchini
Italia
anayecheza katika nafasi ya
golikipa
.
Reina alianza kuichezea
klabu
ya
Barcelona F.C.
ya nchini
Hispania
na mwaka
2002
alihamia
klabu
ya
Villarreal
ya nchini humohumo
Hispania
.
Mwaka
2005
alihamia klabu ya
Liverpool F.C.
ya nchini
Uingereza
na kufanikiwa kushinda taji la UEFA la msimu wa mwa
2005
.
Mwaka
2013
Reina alienda kwa mkopo katika
klabu
ya
Napoli
ya nchini
Italia
.
Mwaka
2014
alihamia
klabu
ya
Bayern Munich
ya nchini
Ujerumani
.
Mwaka
2015
Reina alirudi
Napoli
na kuichezea mpaka mwaka
2018
ambapo amesajiliwa na klabu ya
A.C. Milan
.
|
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Pepe Reina
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|