Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nova Scotia
(
jina
la
Kilatini
; kwa
Kiingereza
:
New Scotland
; kwa
Kigaeli
:
Alba nuadh
; kwa
Kifaransa
:
Nouvelle-Ecosse
; kwa
Kiswahili
:
Uskoti Mpya
) ni
jimbo
la
Kanada
upande wa mashariki ya nchi. Limepakana na
New Brunswick
upande wa magharibi,
Bahari Atlantiki
upande wa mashariki.
Nova Scotia ni jimbo dogo la pili la Kanada. Ni moja kati ya majimbo 3 ya baharini (kwa Kiingereza: Maritime provinces).
Mji mkuu
na
mji
mkubwa ni
Halifax
.
Jimbo lina wakazi wapatao 939,531 (
2009
) katika eneo la
kilomita za mraba
zipatazo 55,283.
Lugha rasmi
ni
Kiingereza
.
- Halifax
(372,679)
- Cape Breton
(102,250)
- Lunenburg
(25,164)
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Kanada
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Nova Scotia
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|