Mike Laizer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mike Laizer (amezaliwa tar. 24 Oktoba 1948 ) ni mbunge wa jimbo la Longido katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania . [1] Anatokea katika chama cha CCM .

Tazama pia [ hariri | hariri chanzo ]

Marejeo [ hariri | hariri chanzo ]

  1. "Mengi kuhusu Mike Laizer" . 17 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-20 . Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011 .  

Viungo vya nnje [ hariri | hariri chanzo ]