Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kung Fu Panda
ni mfululizo wa
katuni
unaopendwa na
watoto
ambao huoneshwa kwenye chaneli ya Nickelodeon na ambao huletwa na Dream Works Animation ambayo iliongozwa na John Stevenson.
Huhusisha maisha ya dubu aina ya panda katika kipindi cha maisha yake kufanya kazi ya kuwa mhudumu katika mgahawa wa baba yake, lakini katika kijiji anachoishi kutokea uchaguzi wa mpiganaji dragoni ambaye atakuwa mlinzi wa kijiji chao baada ya aliyekuwa mfungwa sugu na jambazi katika filamu hii kutoroka jela.
|
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Kung Fu Panda
kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|