Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kesha Rose Sebert
(ambaye zamani aliitwa
Ke$ha
; alizaliwa
Machi 1
,
1987
) ni
mwimbaji
na
mtunzi
wa
nyimbo
wa
Marekani
.
[1]
Mnamo
mwaka
2005
, akiwa na
umri
wa miaka 18, Kesha alijiunga na rekodi lebo ya
Kemosabe Records
. Mafanikio yake makubwa ya kwanza yalianza mwaka
2009
baada ya kushirikishwa na rapa maarufu wa Marekani
Flo Rida
.
|
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Kesha Rose Sebert
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|