Francis II ( 12 Februari 1768 – 2 Machi 1835 ) alikuwa Kaizari wa Dola la Ujerumani kuanzia 1792 hadi kujiuzulu mwaka wa 1806 . Alimfuata baba yake, Leopold II . Alipojiuzulu, Dola Takatifu la Kiroma la Taifa la Ujerumani lilivunjika hadi mwaka wa 1871 .