Johann Deisenhofer (amezaliwa 30 Septemba 1943 ) ni mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani akiwa amefanya kazi nchini Marekani tangu mwaka wa 1988. Hasa alichunguza elimu ya fuwele . Mwaka wa 1988 , pamoja na Robert Huber na Hartmut Michel alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia .