Baha'i

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Baha'i symbol.
Makao makuu ya Baha'i, huko Haifa , Israel .

Imani ya Baha'i (kwa Kiparsi |?????.) ni dini inayofundisha kuabudu Mungu pekee.

Mwanzilishi wake alikuwa Baha'ullah huko Uajemi , (leo Iran ) katika karne ya 19 , aliyesisitiza umoja wa kiroho wa binadamu wote. [1]

Leo wafuasi wa dini hiyo duniani kote ni kati ya milioni 5 na 6. [2] [3]

Katika imani ya Baha'i, historia inatazamwa kama mfululizo wa wajumbe wa Mungu walioanzisha dini mbalimbali kadiri ya mahitaji ya wakati na watu. Kati yao kuna Abrahamu , Buddha , Yesu , Muhammad na wengineo.

Hatimaye walitokea Bab na Baha'u'llah kukamilisha yote ili kuleta amani , haki na umoja. [4]

Baha'i Temple, Ingleside, Sydney, Australia
Alama za dini mbalimbali zilizochongwa katika nguzo ya Baha'i House of Worship huko Wilmette , Illinois , Marekani .
Ringstone symbol inamaanisha uhusiano wa watu na Mungu.
Patakatifu pa Bab huko Haifa, Israel.
Hekalu la Baha'i huko New Delhi , India linalovuta kila mwaka watalii milioni 4 kwa wastani.
Mabustani ya Baha'i huko Haifa, Israel.
Mwandiko mzuri wa jina kuu.

Tanbihi [ hariri | hariri chanzo ]

  1. Houghton 2004
  2. Baha'i statistics for a breakdown of different estimates.
  3. Hutter 2005 , pp. 737?40
  4. Smith 2008 , pp. 107?9
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu .
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .