Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yohane Antoni Farina
(
11 Januari
1803
?
4 Machi
1888
) alikuwa
askofu
mmojawapo wa
Kanisa Katoliki
nchini
Italia
, kwanza
Treviso
halafu
Vicenza
, na
mwanzilishi
wa shirika la
Masista Walimu wa Mt. Dorotea Mabinti wa Mioyo Mitakatifu
.
Alisifiwa kwa
uchungaji
wake, kwa
ukarimu
wake kwa
maskini
wa aina zote na kwa kuinua
vijana
kwa
malezi
.
[1]
Ndiye aliyempa
upadrisho
atakayekuwa
Papa Pius X
[2]
.
Papa Yohane Paulo II
alimtangaza
mwenye heri
tarehe
4 Novemba
2001
na
Papa Fransisko
alimtangaza
mtakatifu
tarehe
23 Novemba
2014
.
Sikukuu
yake huadhimishwa
tarehe
ya
kifo
chake
[3]
.
|
Makala hii bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|