Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yeriko
(kwa
Kiebrania
????????, kwa
Kiarabu
?????, maana yake "wenye kunukia") ni
mji
wa kale sana, ulioanzishwa miaka 9000 hivi
KK
karibu na
mto
Yordani
.
Mwaka
2006
ulikuwa na wakazi 20,400
[1]
[2]
Umaarufu wake unatokana na kuwa chini ya usawa wa bahari kuliko miji yote duniani.
Unasadikiwa pia kuwa mmojawapo kati ya miji ya zamani zaidi kukaliwa mfululizo hadi leo.
[3]
[4]
[5]
Akiolojia
imekuta chini ya
ardhi
zaidi ya miji 20 iliyojengwa kwa nyakati tofauti mahali pale, kuanzia miaka 11,000 iliyopita.
[6]
Katika
Biblia
unatajwa kama "Mji wa Mitende":
chemchemi
mbalimbali ndani na kandokando yake zilivuta
binadamu
tangu
milenia
nyingi.
[7]
Katika
Agano la Kale
unatajwa kwa namna ya pekee kuhusiana na
Yoshua
kuingiza
Waisraeli
waliotoka
Misri
katika nchi ya
Kanaani
kwa kuvuka mto Yordani mkabala wa Yeriko na kuuteka kwa
maandamano ya ibada
(
Yos
6) kabla ya miji mingine yoyote.
Katika
Agano Jipya
unatajwa kuhusiana na
Yesu
ambaye huko alimuongoa
mtozaushuru
tajiri
Zakayo
(
Luk
19) na kumponya
kipofu
ombaomba
Bartimayo
(
Mk
10).
- ↑
Elected City Council Municipality of Jericho
Archived
5 Mei 2008 at the
Wayback Machine
.. Retrieved 8 Machi 2008.
- ↑
Projected Mid -Year Population for Jericho Governorate by Locality 2004?2006
Archived
7 Februari 2012 at the
Wayback Machine
.
Palestinian Central Bureau of Statistics
(PCBS).
- ↑
Gates, Charles (2003).
"Near Eastern, Egyptian, and Aegean Cities", Ancient Cities: The Archaeology of Urban Life in the Ancient Near East and Egypt, Greece and Rome
. Routledge. uk.
18
.
ISBN
0415018951
.
Jericho, in the Jordan River Valley in Palestine, inhabited from ca. 9000 BCE to the present day, offers important evidence for the earliest permanent settlements in the Near East.
- ↑
Murphy-O'Connor, 1998, p. 288.
- ↑
Freedman et al., 2000, p. 689?671.
- ↑
"Jericho"
,
Encyclopedia Britannica
- ↑
Bromiley, 1995, p. 715.
- Benvenisti, Meron
(1998).
City of Stone: The Hidden History of Jerusalem
.
University of California Press
.
ISBN
0520207688, 9780520207684
.
- Bromiley, Geoffrey W. (1995).
The International Standard Bible Encyclopedia: E-J
. Wm. B. Eerdmans Publishing.
ISBN
0802837824, 9780802837820
.
- Freedman, David Noel
; Myers, Allen C.; Beck, Astrid B. (2000).
Eerdmans Dictionary of the Bible
. Wm. B. Eerdmans Publishing.
ISBN
0802824005, 9780802824004
.
- Kenyon, Kathleen
(1957).
Digging Up Jericho
.
- Finkelstein, Israel
(2002).
The Bible Unearthed
. Touchstone.
ISBN
0-684-86913-6
.
- Janson, Horst Woldemar; Janson, Anthony F. (2003).
History of Art: The Western Tradition
. Prentice Hall.
ISBN
0131828959
.
- Gates, Charles (2003).
Ancient Cities: The Archaeology of Urban Life in the Ancient Near East and Egypt, Greece and Rome
.
- Friling, Tuvia; Cummings, Ora (2005).
Arrows in the Dark: David Ben-Gurion, the Yishuv Leadership, and Rescue Attempts During the Holocaust
. University of Wisconsin Press.
ISBN
0299175502, 9780299175504
.
- Holman (2006).
Holman Illustrated Study Bible-HCSB: Holman Christian Standard Bible
. Broadman & Holman Publishers.
ISBN
1586402757, 9781586402754
.
- Hull, Edward (1855).
Mount Seir, Sinai and Western Palestine
. Richard Bently and Sons.
- Losch, Richard R. (2005).
The Uttermost Part of the Earth: A Guide to Places in the Bible
. Wm. B. Eerdmans Publishing.
ISBN
0802828051, 9780802828057
.
- Murphy-O'Connor
, Jerome (1998).
The Holy Land: An Oxford Archaeological Guide from Earliest Times to 1700
.
Oxford University Press
.
ISBN
0192880136, 9780192880130
.
- Ring, Trudy; Salkin, Robert M.; Berney, K. A.; Schellinger, Paul E. (1994).
International dictionary of historic places
. Taylor & Francis.
ISBN
1884964036, 9781884964039
.
- Scheller, William (1994).
Amazing Archaeologists and Their Finds
. The Oliver Press, Inc.
ISBN
188150817X, 9781881508175
.
- Schreiber, Mordecai; Schiff, Alvin I.; Klenicki, Leon (2003).
The Shengold Jewish Encyclopedia
. Schreiber Pub.
ISBN
1887563776, 978188756377
.
- Shahin, Mariam (2005).
Palestine: A Guide
. Interlink Books.
ISBN
156656557X, 978-1566565578
.
- le Strange, Guy (1890).
Palestine Under the Moslems
. Alexander P. Watt for the Committee of the Palestine Exploration Fund.
Wikimedia Commons ina media kuhusu: