Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Riadha
ni
neno
lenye
asili
ya
Kiarabu
linalojumlisha aina mbalimbali za
michezo
za hadhara, kama vile kutembea, kukimbia, kuruka na kurusha
kitu
. Michezo hiyo yote haihitaji
vifaa
vingi, hivyo ni rahisi kabisa.
Kihistoria
, michezo ya mpango inahesabiwa kuwa imeanza na
Olimpiki
huko
Ugiriki
mwaka
776 KK
.
|
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu
Riadha
kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|