Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Usafi
(kutoka
neno
la
Kiarabu
) ni hali ya kuwa
safi
pande zote, kama vile
mdomo
,
mwili
kwa jumla,
matendo
,
roho
.
Usafi wa kimwili ni kitendo cha kuwa safi kimwili ila si lazima usafi huo uendane na ule wa kiroho, kimatendo, kimaneno. Pamoja na hayo, usafi wa mwili ni muhimu katika kulinda
afya
.
|
Makala hii kuhusu mambo ya
sayansi
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Usafi wa kimwili
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|