Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Urika wa maaskofu
ni
msamiati
wa
teolojia
ambao unatokeza
imani
ya
Kanisa
katika
umoja
wa
sakramenti
ya
daraja takatifu
katika ngazi yake ya juu kuhusu utekelezaji wa
kazi
tatu ambazo
Yesu
aliwaachia
Mitume
wake na waandamizi wao kwa njia yao.
Maaskofu
wote wanaunda kundi hilo kutokana na sakramenti waliyopokea, hata wasipoongoza
jimbo
lolote.
Katika utekelezaji wake,
Kanisa Katoliki
linadai daima uwepo wa mkuu wa kundi la maaskofu, yaani
askofu
wa
Roma
akiwa
mwandamizi
wa
mtume Petro
("collegialitas cum et sub Petro").
Fundisho hilo, lililosisitizwa na
Mtaguso wa pili wa Vatikano
, linatekelezwa hasa maaskofu wanapokutana katika
Mtaguso mkuu
, lakini pia katika
Sinodi
ya maaskofu na miundo mingine ya ushirikiano.
Yanayohusu urika wa maaskofu katika
Mkusanyo wa Sheria za Kanisa
la Kilatini
wa
mwaka
1983
yanapatikana katika kitabu II, sehemu II, kanuni 336-341.
|
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Urika wa maaskofu
kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|