Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Titanic
ilipotoka bandari ya
Belfast
kwa safari za kwanza za majaribio
2 Aprili
1912
.
|
Habari za meli
|
|
Wenye meli
:
|
White Star Line
|
Wajenzi
:
|
Harland and Wolff shipyard, Belfasted
|
Nahodha
:
|
Edward John Smith
|
Imeanzishwa
:
|
31 Machi
1909
|
Imepelekwa maji
:
|
31 Mei1
1911
|
Safari ya kwanza
:
|
10 Aprili
1912
|
Mwisho wa huduma
:
|
Iligongana na
siwa barafu
tar.
13 Aprili
1912
ikazama baada ya masaa 3 tar.
15 Aprili
1912
|
Takwimu
|
Ukubwa wa meli
:
|
46,328
tani GT
|
urefu
:
|
269 m
|
Kina
:
|
10.5 m
|
Mbio
:
|
Kwa kawaida mnamo 26
km/h
, hadi 44
km/h
|
Mtindo wa kusogeza meli
:
|
Rafadha
mbili za mikono mitatu, rafadha moja ya kati yenye mikono minne
|
Idadi ya abiria (safari ya kwanza)
:
|
1912
- jumla 2,208
- Daraja la kwanza
: 324
- Daraja la pili
: 285
- Daraja la tatu
: 708
- Mabaharia
: 891
- Abiria na mabaharia waliookelewa
: takriban 700
- Abiria na mabaharia waliokufa
: takriban 1,500
|
Titanic
ilikuwa
meli
kutoka
Uingereza
iliyojengwa kati ya 1909 na 1912 huko
Belfast
. Wakati ule ilikuwa meli kubwa
duniani
pamoja na mwenzake "Olympic".
Ilipangwa kuzunguka kwenye
Atlantiki
kati ya Uingereza na
Marekani
.
Kwenye safari yake ya kwanza iligongana na
siwa barafu
tar. 14 Aprili 1912 mnamo saa sita kasorobo
usiku
ikazama baada ya masaa 2 na dakika 40 katika usiku wa tar. 15. Aprili.
Watu 2200 walikuwepo kwenye meli. Katika
maji
baridi takriban 1500 walikufa ni 700 waliookolewa na meli zilizokimbia kuokoa watu.
Ajali ya Titani ilionyesha kasoro nyingi katika sheria kuhusu ujenzi wa meli na vifaa kama idadi maboti madogo ya dharura na sheria zilibadilishwa baadaye.
1997
filamu juu ya kuzama kwa Titanic
ilitolewa ikapata sifa nyingi.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Titanic
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|