Severo Ochoa ( 24 Septemba 1905 ? 1 Novemba 1993 ) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Hispania . Hasa alichunguza vimeng’enya vya chembe hai . Pia alifaulu kusanisi DNA . Mwaka wa 1959 , pamoja na Arthur Kornberg alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba .