Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Seoul
ni
mji mkuu
na
mji
mkubwa katika
Korea ya Kusini
. Kihistoria na hadi mwaka
1945
ilikuwa mji mkuu wa Korea yote.
Ina wakazi 10,276,968 kwenye eneo la
km²
610.
Seoul iko kando ya
mto Han
katikati ya
rasi ya Korea
karibu na mpaka na
Korea ya Kaskazini
.
Jiji
ni
kitovu
cha
siasa
,
uchumi
,
utamaduni
na
elimu
ya Korea Kusini.
Seoul ilikuwa mahali pa
michezo ya olimpiki
ya mwaka
1988
.
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Asia
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Seoul
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|