Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rhythm na blues
(kutoka
Kiing.
R&B
au
RnB
) ni aina ya muziki uliomaarufu, ambao umejumlisha muziki wa
jazz
,
gospo
, na athari nzima za
muziki wa blues
. Kwa mara ya kwanza, muziki huu ulikuwa ukiimbwa na wasanii
Waamerika Weusi
. Lakini baadaye ulipendwa na watu wengi na kufikia hata kutumika na makundi na tamaduni za watu mbalimbali duniani.Lakini pia muziki huu ni muziki unaoonekana kuwa mgumu sana kwa wasanii wengi sana maana ukiangalia wengi wanachanganya na Zuku hivyo kupoteza uhalisia wake
[1]
|
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Rhythm na blues
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|