Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rachel Weisz
|
Rachel Weisz
|
Jina la kuzaliwa
|
Rachel Hannah Weisz
|
Alizaliwa
|
7 Machi
1970
,
London
Uingereza
|
Kazi yake
|
Mwigizaji
|
Miaka ya kazi
|
1993 ? hadi leo
|
Rachel Hannah Weisz
(amezaliwa tar.
7 Machi
1970
) ni mshindi wa
Tuzo ya Academy
akiwa kama mwigizaji bora filamu wa kike kutoka nchini
Uingereza
. Amenza kujipatia umaarufu baada ya kucheza katika filamu za Hollywood-The Mummy na The Mummy Returns, na tangu hapo akawa anaendelea kushiriki katika sehemu kubwa-kubwa za filamu.
|
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Rachel Weisz
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|