Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Petro Maldonado
(
jina
kamili kwa
Kihispania
:
Pedro de Jesus Maldonado Lucero
;
Chihuahua
,
Mexico
,
15 Juni
1892
?
Chihuahua
,
Mexico
,
11 Februari
1937
) alikuwa
padri
wa
Kanisa Katoliki
nchini
Meksiko
hadi
alipouawa
bila
kesi
wakati wa
Vita vya Wakristero
[1]
.
Bila kujali
dhuluma
kali, aliabudu
fumbo
la
Ekaristi
hadi
dakika
yake ya mwisho, alipopigwa
kichwa
vibaya sana.
Papa Yohane Paulo II
alimtangaza
mwenye heri
tarehe
22 Novemba
1992
halafu
mtakatifu
mfiadini
tarehe
21 Mei
2000
pamoja na wenzake 24 waliofia
dini
katika
vita
hivyo
[2]
:
Sikukuu
yao inaadhimishwa kila
tarehe
21 Mei
ila ya kwake mwenyewe ni tarehe ya
kifodini
chake
[3]
.
|
Makala hii bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|