Paul Christian Lauterbur ( 6 Mei , 1929 ? 27 Machi , 2007 ) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani . Hasa alichunguza usumaku kwa ajili ya MRI. Mwaka wa 2003 , pamoja na Peter Mansfield , alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba .