Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Paul Gardner Allen
(
Januari 21
,
1953
-
Oktoba 15
,
2018
) alikuwa
mfanyabiashara
mkubwa wa
Marekani
, muundaji wa
programu za kompyuta
, mtafiti, mwekezaji, na mfadhili. Alianzisha
kampuni
ya "Microsoft Corporation" na rafiki yake wa utotoni
Bill Gates
mnamo
1975
, ambayo ilisaidia kuibua mapinduzi ya kompyuta ndogo miaka ya
1970
na
1980
.
Microsoft ikawa kampuni kubwa zaidi ya programu za kompyuta binafsi ulimwenguni..
[1]
Allen aliorodheshwa kama mtu
tajiri
zaidi wa 44 ulimwenguni na gazeti la
Forbes
mnamo
2018
, na wastani wa utajiri wa dola za kimarekani
bilioni
20.3 wakati wa
kifo
chake.
[2]
[3]
|
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Paul Allen
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|