Manila ni mji mkuu wa Ufilipino kwenye kisiwa cha Luzon kando la Hori ya Manila . Pamoja na miji 16 mingine ni sehemu ya mkoa wa jiji la Metro Manila. Mji una wakazi milioni 1.6 na rundiko la mji wote takriban milioni 15.