Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ludoviko wa Toulouse
(
Brignoles
,
Provence
,
Ufaransa
, Februari
1274
-
Toulouse
19 Agosti
1297
) alikuwa
mwana
wa
mfalme
wa
Napoli
Charles II wa Anjou
, mdogo wake
Ludoviko IX
, lakini akitamani
ufukara
wa
Kiinjili
kuliko
sifa
na
heshima
za
kidunia
, alikataa
haki
ya kumrithi akawa
mtawa
wa
Ndugu Wadogo
na
askofu
wa
Kanisa Katoliki
mjini
Toulouse
[1]
.
Akiwa kijana kwa umri lakini mkomavu katika maadili alifariki mapema kutokana na afya wake dhaifu
[2]
.
Alitangazwa na
Papa Yohane XXII
kuwa
mtakatifu
tarehe
7 Aprili
1317
.
Sikukuu
yake huadhimishwa
tarehe
ya
kifo
chake
[3]
- ↑
https://www.santiebeati.it/dettaglio/90385
- ↑
https://www.santiebeati.it/dettaglio/90385
- ↑
Martyrologium Romanum
|
Makala hii bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|