Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lasse Schone
(alizaliwa
27 Mei
1986
) ni
mchezaji
wa
soka
wa
Denmark
ambaye sasa anacheza katika
klabu
ya
Uholanzi
iitwayo Ajax na
timu ya taifa
ya
Denmark
kama
kiungo
au winga.
Schone ametumia kazi yake yote ya kitaaluma nchini
Uholanzi
, na
klabu
ya De Graafschap, NEC na Ajax, akifunga magoli zaidi ya
60
ya ligi.
Schone alifunga bao la kwanza la kimataifa mwaka
2009
na alikuwa sehemu ya kikosi cha kwanza cha
Denmark
katika UEFA Euro
2012
na
Kombe la Dunia la FIFA 2018
.
|
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Lasse Schone
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|