Kisotho-Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kisotho )

Kisotho-Kusini ni lugha ya Kibantu nchini Afrika Kusini inayozungumzwa na Wasotho . Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kisotho-Kusini nchini Afrika Kusini imehesabiwa kuwa watu 4,240,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisotho-Kusini iko katika kundi la S30.

Viungo vya nje [ hariri | hariri chanzo ]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu .
Je, unajua kitu kuhusu Kisotho-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .