Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kuingia
patakatifu
pa Mt. Katharine Drexel huko
Bensalem
,
Pennsylvania
,
Marekani
.
Katharine Marie Drexel
(
26 Novemba
1858
?
3 Machi
1955
) alikuwa
mtawa
wa kike na
mwanzilishi
wa shirika la
Masista wa Ekaristi Takatifu
(kwa
Kiingereza
Sisters of the Blessed Sacrament
).
Jumuiya hiyo kwanza ililenga hasa kuwainua
Wahindi Wekundu
na
Wamarekani weusi
huko
Marekani
. Kwa ajili yao alitumia kwa
ukarimu
na
upendo
urithi
wake mwenyewe.
Alitangazwa na
Papa Yohane Paulo II
kuwa
mwenye heri
tarehe
20 Novemba
1988
na
mtakatifu
tarehe
1 Oktoba
2000
.
Sikukuu
yake ni tarehe 3 Machi
[1]
.
- Tarry, Ellen (1958).
St. Katharine Drexel - Friend of the Oppressed
. New York: Farrar, Straus and Cudahy, Inc.
|
Makala hii bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|