Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jumuiya ya Madola
(jina la Kiingereza ni
Commonwealth of Nations
) inaunganisha nchi mbalimbali hasa
Uingereza
na nchi zilizokuwa
koloni
zake.
Umoja huu umeanzishwa mw.
1926
kama "Jumuiya ya Kibritania" (British Commonwealth) na kupewa jina lake la sasa tangu
1949
. Inafuatana na
Dola la Kibritania
au Dola la Kiingereza ambayo ilikuwa dola kubwa kabisa katika historia ya dunia lakini maeneo yake yalianza kuachana baada ya
Vita Kuu ya Pili ya Dunia
kutokana na kudhoofishwa kwa
Uingereza
vitani na miendo ya kupigania uhuru katika nchi mbalimbali hasa
Uhindi
.
Leo zipatao asilimia 30 ya watu wote
duniani
(watu 1,800,000) huishi katika nchi wanachama za Jumuiya ya Madola. Nchi za jumuiya hii wenye wakazi wengi ni hasa
Uhindi
,
Pakistan
,
Bangladesh
na
Nigeria
. Kuna pia nchi ndogo sana kama
Tuvalu
yenye wakazi 11,000 pekee.
Nchi kadhaa zilisimamishwa uanachama au kuondoka kwa hiari zao. Mfano Tanganyika na Zanzibar ziliungana kwa hiyo hazipo tena lakini mpya ya Tanzania imekuwa nchi mwanachama. Vilevile Newfoundland iliondoka katika jumuiya baada ya kujiunga na Kanada kama jimbo.
Pakistan ilisimamishwa uanachama mara kadhaa kwa sababu
serikali
yake ilipinduliwa na wanajeshi walioanzisha serikali ya kijeshi. Imerudishwa tena.
Zimbabwe ilisimamishwa uanachama baada ya uchaguzi bandia 2002 ikaamua kujiondoa kabisa mwaka 2003.
Jamhuri ya Ueire iliamua mwaka 1949 kuacha viungo vyote na Uingereza ikajitangaza kuwa jamhuri isiyokubali athira ya nje kama hali ya malkia wa Uingereza kuwa mkuuw a dola hivyo ikaondoka katika jumuiya.
Afrika Kusini ilijiondoa 1961 kwa sababu ya
upinzani
wa jumuiya dhidi ya sheria za
apartheid
. Baada mwisho wa ubaguzi wa rangi nchi ilirudi katika jumuiya.
Fiji imesimamishwa mara kadhaa baada ya uasi wa kijeshi uliopindua serikali.
Nchi wanachama za Jumuiya ya Madola
[
hariri
|
hariri chanzo
]
Ilijiunga
|
Nchi
|
Bara
|
Wakazi
|
1931
|
Afrika Kusini
|
Afrika
|
47,423,000
|
1981
|
Antigua na Barbuda
|
Amerika ya Kati
|
81,000
|
1931
|
Australia
|
Oceania
|
20,555,300
|
1973
|
Bahamas
|
Amerika ya Kati
|
323,000
|
1972
|
Bangladesh
|
Asia
|
148,384,000
|
1966
|
Barbados
|
Amerika ya Kati
|
279,000
|
1981
|
Belize
|
Amerika ya Kati
|
287,730
|
1966
|
Botswana
|
Afrika
|
1,765,000
|
1984
|
Brunei
|
Asia
|
374,000
|
1978
|
Dominika
|
Amerika ya Kati
|
79,000
|
1970
|
Fiji
|
Oceania
|
848,000
|
1965
|
Gambia
|
Afrika
|
1,517,000
|
1957
|
Ghana
|
Afrika
|
22,113,000
|
1974
|
Grenada
|
Amerika ya Kati
|
103,000
|
1966
|
Guyana
|
South America
|
751,000
|
1947
|
India
|
Asia
|
1,100,000,000
|
1962
|
Jamaika
|
Amerika ya Kati
|
2,651,000
|
1995
|
Kamerun
|
Afrika
|
16,322,000
|
1931
|
Kanada
|
Amerika ya Kaskazini
|
32,654,500
|
1963
|
Kenya
|
Afrika
|
34,256,000
|
1961
|
Kipro
|
Ulaya
|
818,200
|
1979
|
Kiribati
|
Oceania
|
99,000
|
1966
|
Lesotho
|
Afrika
|
1,795,000
|
1964
|
Malawi
|
Afrika
|
12,884,000
|
1957
|
Malaysia
|
Asia
|
27,356,000
|
1982
|
Maldivi
|
Asia
|
329,000
|
1964
|
Malta
|
Ulaya
|
402,668
|
1968
|
Morisi
|
Afrika
|
1,245,000
|
1995
|
Msumbiji
|
Afrika
|
19,792,000
|
1990
|
Namibia
|
Afrika
|
2,031,000
|
1968
|
Nauru
|
Oceania
|
14,000
|
1931
|
New Zealand
|
Oceania
|
4,147,972
|
1960
|
Nigeria
|
Afrika
|
132,796,000
|
1947
|
Pakistan
|
Asia
|
158,352,000
|
1975
|
Papua Guinea Mpya
|
Oceania
|
5,887,000
|
1983
|
Saint Kitts na Nevis
|
Amerika ya Kati
|
43,000
|
1979
|
Saint Lucia
|
Amerika ya Kati
|
161,000
|
1979
|
Saint Vincent na Grenadini
|
Amerika ya Kati
|
119,000
|
1970
|
Samoa
|
Oceania
|
185,000
|
1976
|
Shelisheli
|
Afrika
|
81,000
|
1961
|
Sierra Leone
|
Afrika
|
5,525,000
|
1965
|
Singapur
|
Asia
|
4,326,000
|
1978
|
Solomon Islands
|
Oceania
|
478,000
|
1948
|
Sri Lanka
|
Asia
|
20,743,000
|
1964
|
Tanzania
|
Afrika
|
50,329,000
|
1970
|
Tonga
|
Oceania
|
102,000
|
1962
|
Trinidad na Tobago
|
Amerika ya Kati
|
1,305,000
|
1978
|
Tuvalu
|
Oceania
|
10,000
|
1962
|
Uganda
|
Afrika
|
28,816,000
|
1931
|
Ufalme wa Maungano
(Uingereza)
|
Ulaya
|
60,209,500
|
1968
|
Uswazi
|
Afrika
|
1,032,000
|
1980
|
Vanuatu
|
Oceania
|
211,000
|
1964
|
Zambia
|
Afrika
|
11,668,000
|