John Robert Vane ( 29 Machi 1927 ? 19 Novemba 2004 ) alikuwa mtaalamu wa madawa kutoka nchi ya Uingereza . Hasa anajulikana kwa kuchunguza athari za aspirini kwa tezi kibofu . Mwaka wa 1982 , pamoja na Sune Bergstrom na Bengt Samuelsson alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba .