Hannes Olof Gosta Alfven ( 30 Mei 1908 ? 2 Aprili 1995 ) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uswidi . Hasa alichunguza uionishaji wa gesi na umuhimu wake kwa chanzo cha ulimwengu. Mwaka wa 1970, pamoja na Louis Neel alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia .