Gertrude Belle Elion ( 23 Januari 1918 – 21 Februari 1999 ) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani . Hasa anajulikana kwa kugundua dawa mpya nyingi. Mwaka wa 1988 , pamoja na James Black na George Hitchings alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba .