Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha takatifu
ya Mt. Eutropi katika
kanisa kuu
la Orange.
Eutropi wa Orange
(alifariki
Orange
,
Provence
, leo nchini
Ufaransa
,
475
hivi) alikuwa
kabaila
wa
Marseille
, huko
Ufaransa
.
Baada ya kufiwa
mke
wake, aliyekuwa amemvuta katika
Ukristo
kutoka
maisha
ya
anasa
, akawa
shemasi
[1]
na hatimaye
askofu
wa
Orange
tangu
mwaka
463
hadi
kifo
chake
[2]
[3]
.
Mwandamizi
wake,
Vero wa Orange
, aliandika habari za maisha yake
[4]
.
Tangu kale anaheshimiwa kama
mtakatifu
.
Sikukuu
yake ni
27 Mei
[5]
.
|
Makala hii bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|