Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Deutsche Lufthansa
ni shirika ya ndege kubwa zaidi kwenye bara
Ulaya
, kulingana na jumla ya wasafiriwa inabeba. Ni ndege kuu nchini
Ujerumani
. Jina la kampuni hili linatokana na
Luft
(neno la Kijerumani linalomaanisha "hewa") na
Hansa
(baada ya "
Hanse
" iliyokuwa ushirikiano mashuhuri wa wafanyabiashara thabiti).
Ofisi kuu ipo mjini
Cologne
, na makao makuu ya ndege zake ni kwenye uwanja wa ndege wa
Frankfurt am Main
, na makao yake mingine ni uwanja wa ndege wa
Munich
.
[3]
[4]
Lufthansa ndio mwanachama mwanzishi wa
Star Alliance
.
Star Alliance
ilianzishwa mnamo 1997 pamoja na
Thai Airways
,
United Airlines
,
Air Canada
, na
Scandinavian Airlines
. Lufthansa inahudumu zaidi ya ndege 500 na imewaajiri watu 105,261 kote duniani (31 Desemba 2007). Mnamo 2008, wasafiriwa milioni 70.5 walisafiria kwa kutumia Lufthansa.
Lufthansa inamiliki au ina shirika na kampuni kadhaa:
- Air Dolomiti
, ambayo ni ndege iliyo na makao yake mjini
Ronchi dei Legionari
, Italy, inamilikiwa na Lufthansa.
- Austrian Airlines
, ndege ya kitaifa nchini Austria, iliyo na makao yakw mjini
Schwechat
,
Austria
.
- BMI (airline)
, ambayo ni ndege nchini Uingereza inayomilikiwa na Lufthansa.
- Brussels Airlines
, mnamo 1 Julai 2009, Lufthansa ilinunua hisa za
45%
na ina azma ya kununua 55% iliyobaki mnamo 2011.
- Eurowings
, ambayo Lufthansa wamenunua
45%
ya hisa zake.
- Germanwings
, inamilikiwa kikamili na Lufthansa.
- JetBlue
- ambayo Lufthansa wana 19% ya hisa zake.
[5]
- Lufthansa Cargo
, kampuni inayomilikiwa kikamili na Lufthansa.
Lufthansa Fleet
[6]
[7]
Aina ya ndege
|
Namba
|
Oda
|
Chaguo
|
Wasafiriwa
|
Maelezo
|
Airbus A319-100
|
26
|
9
|
0
|
126 (0/24/102)
|
|
Airbus A320-200
|
37
|
13
|
0
|
146 (0/32/114)
|
|
Airbus A321-100
|
20
|
0
|
0
|
186 (0/31/155)
|
|
Airbus A321-200
|
22
|
21
|
0
|
186 (0/31/155)
|
|
Airbus A330-300
|
15
|
0
|
0
|
221 (8/48/165)
|
|
Airbus A340-300
|
26
|
0
|
0
|
266 (0/44/222)
221 (8/48/165)
|
ndege moja ilifanya kazi kwa
Luftwaffe
|
Airbus A340-600
|
24
|
0
|
0
|
345 (0/66/279)
306 (8/60/238)
|
ndege moja imewekwa kando
|
Airbus A380-800
|
0
|
15
|
10
|
526 (8/98/420)
|
|
Boeing 737-300
|
33
|
0
|
0
|
124 (0/18/106)
|
|
Boeing 737-500
|
30
|
0
|
0
|
108 (0/18/90)
|
|
Boeing 747-400
|
30
|
0
|
0
|
330 (16/80/234)
|
ndege moja imewekwa kando
|
Boeing 747-8I
|
0
|
20
|
20
|
|
|
Embraer 170
|
1
|
0
|
0
|
100 (0/0/100)
|
ilitumiwa na
Cirrus Airlines
|
Jumla
|
262
|
80
|
30
|
|
|
First Class:
Lufthansa First Class ipo kwenye ndege ya Boeing 747, Airbus A330 na A340. Kila kiti hugeuka kuwa kitanda cha mita mbili, na kuna vifaa vya burudani. Vyakula pia hutolewa.
Business Class:
Kila kiti hugeuka na kuwa kitanda cha mita mbili. Pia, kuna viburudisho.
Economy Class:
Wasafiriwa hupata vyakula na vinywaji vya bure.
- Canada
- Calgary
-
Calgary International Airport
- Montreal
-
Montreal-Pierre Elliott Trudeau International Airport
[seasonal]
- Toronto
-
Toronto Pearson International Airport
- Vancouver
-
Vancouver International Airport
- Mexico
- Marekani
- Atlanta
-
Hartsfield-Jackson Atlanta International Airport
- Boston
-
Logan International Airport
- Charlotte
-
Charlotte/Douglas International Airport
- Chicago
-
O'Hare International Airport
- Dallas/Fort Worth
-
Dallas/Fort Worth International Airport
- Denver
-
Denver International Airport
- Detroit
-
Detroit Metropolitan Wayne County Airport
- Houston
-
George Bush Intercontinental Airport
- Los Angeles
-
Los Angeles International Airport
- Miami
-
Miami International Airport
- Newark
-
Newark Liberty International Airport
- New York City
-
John F. Kennedy International Airport
- Orlando
-
Orlando International Airport
- Philadelphia
-
Philadelphia International Airport
- San Francisco
-
San Francisco International Airport
- Seattle
-
Seattle-Tacoma International Airport
- Washington, D.C.
-
Washington Dulles International Airport
- Uchina
- Beijing
-
Beijing Capital International Airport
- Hong Kong
-
Hong Kong International Airport
- Guangzhou
-
Guangzhou Baiyun International Airport
- Nanjing
-
Nanjing Lukou International Airport
- Shanghai
-
Shanghai Pudong International Airport
- India
- Bangalore
-
Bengaluru International Airport
- Chennai
-
Chennai International Airport
- Delhi
-
Indira Gandhi International Airport
- Hyderabad
-
Rajiv Gandhi International Airport
- Kolkata
-
Netaji Subhash Chandra Bose International Airport
- Mumbai
-
Chhatrapati Shivaji International Airport
- Pune
-
Pune International Airport