Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Descendants of the Sun
(kwa
Kikorea
: 太陽의 後裔; RR:
Taeyang-ui Huye
) ni safu ya
runinga
ya
Korea Kusini
iliyoigizwa na
Song Joong-ki
,
Song Hye-kyo
,
Jin Goo
, na
Kim Ji-won
.
Ilirushwa hewani na
KBS2
kutoka Februari 24 hadi Aprili 14,
2016
kwa vipindi 16.
|
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Descendants of the Sun
kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|